Nafasi ya kujifunza katika kuelimisha amani ya Kifikra kwa watoto

Na Sheikh  Alaa Mohamed Al Farajana - Al Azhari Sharif
Kwa hakika utaendelea uwazi wa  kuwa kujifunza  kuna nafasi kubwa katika malezi ya watoto kwa malezi mazuri huwainua katika daraja la  ukamilifu na wa kifahari. Kwa kuwapa uwezo wa kimaendeleo katika miji na nchi kwa ujumla. Na huwenda yale wanayoyapata watu wengi kwamba nafasi ya taasisi za mafunzo haziishii tu katika kuwasomesha watoto na vijana elimu na kuwapandisha daraja kwa fikra zao katika Nyanja hii tuu.
Bali huendelea nafasi ya mafunzo hadi kusimamia kuondoa yale yote yanayoambatana na fikra mbaya, ambazo hupelekea uovu kwa jamii yote na kuondoa maendeleo yake na uwezo wake.
Na yale yanayotakiwa kwetu kuyaendea kwamba  uislam umehimiza juu ya elimu kutokana na elimu hiyo miongoni mwa athari kubwa katikakumnyanyua mtu mmoja  na jamii pia. Na kasha yanayotakiwa kwetu na kutujulisha fika  juu ya umuhimu na himizo la uislam katika elimu ni kwamba aya ya mwanzo katika ufunuo mtukufu kwa kushuka kwa Mtume (SAW)  umeamrisha kusoma nako ndio ufunguo wa elimu amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu (Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba, amemuumba mtu kwa pande la damu, ambaye amefundisha kwa kalamu, amemfundisha mtu aliyekuwa hayajui) i-s-al-alaq.
Na kwa yakini Mwenyezi Mungu amemuamrisha Mtume wake (S.A.W) aombe ziada ya elimu amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu (Ametukuka Mwenyezi Mungu  Mfalime wa haki usiifanyie haraka hii QUR-ANI kabla haujamalizika ufunuo wake na sema Mola wangu nizidishie elimu) 114 Twaha.
Na mara ngapi amehimiza  Mtume (SAW)   juu ya elimu na kuiongeza kutokana na yale yaliyomo miongoni mwa daraja la elimu na utukufu wake, na maneno ya Mtume (SAW) katika jambo hili ni mengi mno hayadhibitiki basi sisi tutataja baadhi yake kwa kuanzia juu amesema Mtume (SAW) (Mwenye kupita njia ya elimu Mwenyezi Mungu atampeleka njia ya peponi kwani malaika huweka mbawa zao kwakuwaridhia watafuta elimu na hakika ulimwengu wote unamtakia msamaha waliopo mbinguni na ardhini hadi chewa aliye kwenye maji, na ubora wa mwenye elimu kwa anayeabudu bila ya elimu, kama ubora wa mwezi kuliko nyota nyingine, na hakika ya wanachuoni ni warithi wa Manabii, na hakika ya Manabii hawakuwarithisha Dinari wala Dirhamu bali wamewarithisha elimu na yeyote atakayeichukua huyo amechukua fungu kubwa) TIRMIOHIY.
Na pia amesema Mtume (SAW) (Mfano wa yale aliyonituma mimi Mwenyezi Mungu miongoni mwa uongofu na elimu ni kama mvua nyingi iliyonyesha  duniani na palikua pakavu yakakubali maji yakaotesha mazao mengi na majani, hali ya  kuwa na ukame kisha maji yakajizuia, wakanufaika watu wakanywa wakanywesheza mazao yao na wakalima, na pia wakapata mvua watu wengine hakika hicho  ni kichuguu hakihifadhi maji wala kuotesha majani huu ni mfano wa  yule aliyesoma katika Dini ya Mwenyezi Mungu, na akanufaika kwa yale niliyoteremshiwa nayo Mwenyezi Mungu, akayajua na pia akayafundisha na mfano wa yule ambaye asiyeinua kichwa na wala hakukubali uongofu wa Mwenyezi Mungu ambao nilioletwa nao)
Imam Bukhari na Hadithi hii iewagawa watu kwa upande wa manufaa kwa elimu juu ya makundi matatu kundi ni mfano wa ardhi nzuri ambayo inakubali maji na kuotesha mazao na huu ndio mfano wa mwanachuoni mwenye elimu ya sheria ambayo ana ifanyia kazi kwa ile aliyojifunza  hao wapo katika daraja la juu. Na kundi la  pili wanaipokea elimu na wanaihifadhi toka kwa wanayoichukua, ama kundi la tatu hao ndio ambao hawakuipokea elimu kwa wao haitarajiwi kwao manufaa yoyote, si kwao wenyewe wala kwa watu wengine.
Basi pongezi kwa wanaotafuta elimu laiti wangeifanya elimu ndio lengo lao na ujumbe, na sio yale yaliyoambatana na elimu ya sheria miongoni mwa elimu ya QUR-ANI na SUNNA  na Sheria na Tafsiri na  nyinginezo miongoni mwa elimu za sheria nazo ni hata kama zitakuwa ni bora kuliko nyingine lakini hii haizuii kujifunza elimu nyingine bali inahitajika zaidikuishughulikia na kuipa umuhimu wa juu ya kuieneza na kuisoma na kuibobea, basi uma hupata maendeleo kupitia  elimu kutokana na fizia na kimia na nyinginezo, ama kuwa kwake kuifundisha  elimu ya amanikifikra  kwa vijana na watoto, haya yataendelea kujificha kwa yeyote, kwani wengi miongoni mwa wachunguzi ambao wameyaanika haya mambo wamepambanua nafasi kubwa na  tukufu ambayo inacheza nafasi ya mafunzo katika kuwahifadhi watoto kutokana na fikra za uasi unaovunja.
Na inapotambulika maana hii katika akili na fikra, hapo itadhamini kuishi jamii katika amani na salama, na hapana makosa kwani kwa yeyote anayevaa vazi la elimu  na akawa nayo basi atakuwa ni mjumbe mtekelezaji katika jamii yake na akiwa salama anahimiza maisha bora kwa watu nao wanakuwa karibu nae, nani mara ngapi Mtume (SAW) anaamrisha kuhakikisha amani na salama na kuikubali kwake katika jamii.
Na kuacha kuwatisha  wenye amani wawe ni waislam au si waislam kwani umeusia uislam kueneza amani katika jamii na zimekuja aya nyingi za QUR-ANI zikihimiza ju ya amani amesema Mwenyezi Mungu (Na  kama wakielekea kwenye amani nawe ielekee na mtegemee Mwenyezi Mungu hakika yeye ni mwenye kusikia mwenye kujua) (61) AL-ANFALI.
Na uhuru  ulioje kuwafundisha watoto kwamba Mtume (SAW) daima alikuwa  akihimiza amani na salama  katika jamii ambayo anayoishi hadi ikafikia jambo la mwanzo tu alipohamia madina alitengeneza suluhu kati yake na Mayahudi kwa  umuhimu wa kupitisha amani na salama kwa yale yanayopelekea amani kwa kuwaelimisha  vijana na watoto wadogo juu  ya umuhimu wa elimu na thamani yake, na kuwafafanulia mwenendokimaandalizi ili kuwahifadhi  watoto na kuwashika mikono kuelekea kwenye wema na njia ya kufaulu.

Matangazo maalum ya kibiashara (nafasi hii inalipiwa)

زيت ارغان    Mafuta ya Arghani mafutayaarghani

Matoleo mapya ya kitabu kipendwacho cha Mkweli Mwaminifu yako tayari.Agizia mapema kutoka kwetu.

mkweli mwaminifu 

Suruali za kuvalia kanzu za kiume. na za kike

Zipo za ukubwa na rangi mbali mbali .Ni mali kutoka nchini Morocco.

Zinapatikana Kwa reja reja na kwa jumla .Ili Kujua zaidi wasiliana nasi hapa.

 

  SURUALI MOROCO      SURUALI MOROCCO

MWANGAZA KWA UMMA

Tofauti kati ya Tohara na kukeketa
Na Skh Mussa Kileo

Kila inapofika tarehe 6 Februari, Umoja wa Mataifa huadhimsha siku ya kupinga ukeketaji wa wanawake Duniani . Kwa wanaharakati wa Haki za binaadam na jinsia huiadhimisha siku hii kwa kauli mbiu mbalimbali na maazimio ya kushinikisha jamii ibadilike ili iachane na kuwakeketa wanawake.

Ukeketaji ni jambo lilioenea katika vinywa vya watu na kuandikwa na asasi mbali mbali za kijamii,na ipo haja kubwa kwa jamii ya kiislaam kulichambua jambo hili kwa kina,na ufafanuzi kama ifuatavyo:

Endelea