TAHFEEDHA HAJJ TRUST

Category: HIJA NA UMRA
Price: 4000000,00 US $

TAHFIIDH HAJJ TRUST (JUKUQUZA)P.O.BOX 1507 FUONI – ZANZIBAR

INAWATANGAZIA WAISLAM WOTE KUWA

 

IMEANDAA SAFARI YA HIJJA KWA MWAKA

 

HUU 1434 H SAWA 2013 KWA GHARAMA YA

 

DOLA 3600

HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA NI PAMOJA NA: 

1.  ZIARA KATIKA SEHEMU TUKUFU ZA MAKKA NA MADINAH.

2.  SEMINA ZA MAFUNZO.

3.  KUCHINJA.

4.  IKHRAMU KWA WANAUME NA KANGA KWA WANAWAKE.

5.  USAFIRI TIKETI ZA NDEGE KWENDA NA KURUDI PAMOJA NA MABASI YA SEHEMU TUKUFU MAKKA, MADINA NA JEDDAH.

6.  NYUMBA ZILIZOPO KARIBU NA MSIKITI WA MAKKA NA MADINA KWA MTU ASIEJIWEZA ATAPEWA MSAADA MAALUM.

FOMU ZINAPATIKANA:

UNGUJA:

OFISI ZA JUMUIYA YA KUHIFADHISHA QUR’AN KWA WANAWAKE ZANZIBAR, ZILIZOPO JANG’OMBE DENJA, MSIKITI WA NGUZO MOJA, SIMU 0777 427 704 (MAALIM JUMA SULEIMAN MTUMWA)

1.  SHEIKH FAUDH WA DUKA LA VITABU DARAJANI 0774 434 516

2.  MAALIM HAMAD MBAROUK SAID WA MADRASAT INSAAF FUONI   0777 455 536.

3.  MWALIMU SAID WA DUKA LA VITABU MAGOMENI JITINI 0777 713 459

4.  MUNIR FUNDI WA MIHURI MKUNAZINI JIRANI NA MSIKITI WA GOFU   0777 417 703 / 0713 589 070

WETE-PEMBA

1.  OMAR KHAMIS HAMAD - MTOTO WA KADHI - KONDE MJINI 0773 181 560

CHAKE CHAKE- PEMBA

UST SAID MOH’D SAID 0773 872 773

UKHT HADIYAH MOH’D MASOUD WA MADRAT AISHA 0773 145 289

DAR ES SALAAM

Ø  SHEIKH SAID KASSIM IMAMU WA MSIKITI WA  CHIHOTA

TANDIKA 0715 531 084 /       0784 854 016

Ø  UKHT FATMA SWALEH WA DARASA LA WANAWAKE LA SUMAYYAH- KARIAKOO 0658 683 396 / 0777 683 397

Ø  SHIKH RAMADHANI MOSHI 0786 157 871

Ø  ABDALLAH HEMED MBARUK WA KARIAKOO MTAA WA AFYA NA SWAHILI   0773 795 669

Ø  SHEIKH MUSSA KILEO        0658 393 995

Ø  UST DUNIA IMAM WA MSIKITI WA MADINA KARIAKOO 0754 688 192

TANGA

UONGOFU BOOK SHOP BARABARA YA 18 SIMU                                        0773 982 525 / 0784 982 525

SHINYANGA

SHEIKH NASSOR HEMED MBAROUK WA KAHAMA

SHINYANGA MSIKITI WA IBADH 0773 873 303

 MWANZA 

SHEIKH RAMADHANI ISSA BARUANI WA RADIO IQRAA MWANZA  0784 475 215

ARUSHA

UST SAADAT ABDALLAH BUSHAGAMA WA MIANZINI        0713 709 897/0785 474 553/ 0759 909 256

LINDI NA MTWARA

SHEIKH ABDALLAH JUMA MOH’D WA MTAA WA SOKONI MTWARA 0784 400 451

UKEREWE

SALUM MOSHI KHAMIS                 0769 493 143/ 0784 493 143

Location

Ask about this product

Comments

ZINDUKA

  • MKUU wa kitengo cha Habari na Malezi cha Chuo Kikuu cha al Mansoura nchini Misri amesema, kuzusha vita baina ya Waislamu kwa kutumia fitna ya kimadhehebu, yaani sunni na Kishia ndilo lengo kuu la Marekani katika njama zake za kuwarafakanisha Waislamu..Shirika la habari la Rasa limemnukuu Amin Said, akisema hayo mwishoni mwa mkutano uliopewa jina la Nafasi ya Vyombo vya Habari katika Kupambana na Ugaidi, ambao ulifanyika kwa lengo la kutafuta njia za kupambana na njama za Marekani.Annuur Na. 1220 JAMADUL AWWAL 1437, IJUMAA , MACHI 11-17, 2016