×
INSHA YA UCHUMAJI KARAFUU (21 Apr 2016)

Assalaam alaykum.
Tunakaribisha insha zinazoelezea shughuli za uchumaji karafuu.

Hakuna binaadamu aliyekanyaga mwezini

More
3 years 10 months ago - 3 years 10 months ago #1820 by Oyo
Kwa takriban miaka khamsini sasa binadamu tumekuwa tukiishi na udanganyifu kuhusu mwanaanga wa mwanzo kwenda mwezini.Sasa imedhihiri kuwa huu ni moja ya udanganyifu mkubwa wa karne hii.
Masheikh wengi wamenasa kwenye uwongo huu.Zamani ilikuwa ukikataa kwamba binadamu hajaenda mwezini unaonekana wewe ni mjinga lakini kwa ushahidi mwingi uliotolewa kuanzia waliodaiwa kwenda mwezini,mainjinia,wapiga picha na wataalamu wenngine kwa sasa mjinga ni yule atakayeendelea kuamini hekaya hiyo.

Angalia video hii.
Last edit: 3 years 10 months ago by Oyo.

Please Log in or Create an account to join the conversation.

More
3 years 10 months ago #1822 by Sindibad

Oyo wrote: Kwa takriban miaka khamsini sasa binadamu tumekuwa tukiishi na udanganyifu kuhusu mwanaanga wa mwanzo kwenda mwezini.Sasa imedhihiri kuwa huu ni moja ya udanganyifu mkubwa wa karne hii.
Masheikh wengi wamenasa kwenye uwongo huu.Zamani ilikuwa ukikataa kwamba binadamu hajaenda mwezini unaonekana wewe ni mjinga lakini kwa ushahidi mwingi uliotolewa kuanzia waliodaiwa kwenda mwezini,mainjinia,wapiga picha na wataalamu wenngine kwa sasa mjinga ni yule atakayeendelea kuamini hekaya hiyo.

Angalia video hii.

SubhaanaLlaah!. Kumbe habari hii ilikuwa ni uongo.Basi itakuwa tunadanganywa kwa mengi mno.

Please Log in or Create an account to join the conversation.

Time to create page: 0.418 seconds