×
INSHA YA UCHUMAJI KARAFUU (21 Apr 2016)

Assalaam alaykum.
Tunakaribisha insha zinazoelezea shughuli za uchumaji karafuu.

KUPATA UJAUZITO

More
1 year 4 months ago #2649 by Sindibad
KUPATA UJAUZITO was created by Sindibad
KUKOMAZA MBEGU ZA MWANAUME ILI AWEZE KUTUNGISHA UJAUZITO ⯑
⯑MAHITAJI ⯑
⯑ UBANI DHUKRA ROBO
⯑ ZAATARI ROBO
⯑ SHOMARI ROBO
⚡ Zitwange dawa hizo vizuri kisha chukua kipimo cha robo robo na uchanganye;
⚡Chukua kijiko kimoja cha dawa hyo kwa maziwa vuguvugu glass moja kutwa mara mbili;
⚡Utadumu kunywa hivyo kwa muda wa siku 21

⯑⯑FAIDA ⯑⯑
Kwa MWANAMKE ambaye mirija yake ya uzazi IMEZIBA na kusababisha kutoshika ujauzito achukue 100gm za dawa hii iliyochanganywa vizuri kisha achemshe kwa maji lita moja na nusu
Anywe dawa hyo nusu kikombe kutwa mara tatu siku 11 , basi mirija ITAZIBUKA na atapata UJAUZITO IN SHAA ALLAH

Please Log in or Create an account to join the conversation.

Time to create page: 0.367 seconds