INSHA YA UCHUMAJI KARAFUU 21 Apr 2016

Assalaam alaykum.
Tunakaribisha insha zinazoelezea shughuli za uchumaji karafuu.
Insha ioneshe hatua zote tangu matayarisho ya kuanza kuchuma mwanzaoni mwa msimu mpaka hatua ya mwisho ya kufunga kambi.
Ikiambatana na vidio itakuwa bora zaidi.
Kwa atakayeshinda atarudishiwa gharama zake na kupatiwa malipo ya 50% ya gharama zenye kukubalika
Watakao kuwa tayari kushiriki shindano hili wawasiliane nasi kupitia anuwani za mtandao huu.
Time to create page: 0.246 seconds