صدقة الجارية

UJENZI WA MASJID TWAALUT

 

 

 بسم الله الرحمان الرحيم

     UJENZI WA MSIKITI NA KITUO CHA MASJID TWAALUT

  Ndugu zetu waislamu huu ni mradi mkubwa wa ujenzi unaoendelea eneo la Kwakaeza katika jiji la Tanga.Tangu kuanza kwake unatumia fedha za michango kutoka kwa waislamu kununulia vifaa vya ujenzi.Nguvu kazi kwa kiwango kikubwa ni kwa njia ya kujitolea.Fedha hutumika kuwalipa mafundi tu.

  Kwa ajili ya kutafuta radhi za Allah subhaanahu wataala unaombwa uchangie kwa namna unayoweza na kwa kadri ya uwezo wako.Ukiwa na mchango wa kifedha tumia akaunti ifuatayo.

   Akaunti namba 020 101 004 474   NBC.  BRANCH  Code na.NLCBTZTXXX

 Ukiwa na mchango wa aina nyengine,maswali au ushauri tumia ukurasa wa contact wa mtandao huu au namba za simu zifuatazo:

    +255 787 894 111 ,+255 715  894 111,  +255 713 455 069