صدقة الجارية

UJENZI WA MSIKITI KISARAWE

Bi Mwansiti Hamisi wa Kigogo Ruhanga anaomba msaada wa kumalizia msikiti uliopo katika kijiji cha Kitondwe (B), kIbuta katika wilaya ya Kisarawe.

Vifaa vinavyohitajika ni Cement ya kupiga floor ndani na nje,Rangi,Mikeka au mazulia.Pia kuchimbiwa kisima cha maji pamoja na mageti ya Milango.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba hii +255 656 092 436