صدقة الجارية

MSIKITI WA ISTIQAMA NGUNGUTI WILAYA YA MKURANGA

     Uongozi wa Istiqaama Ngunguti wilayani Mkuranga unaomba mchango wako kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ghorofa nne(4) ambalo litakuwa Msikiti na shule ya sekondari kidato cha tano na sita.

  Uongozi unaomba msaada wenu wa hali na mali ili kufanikisha ujenzi wa jengo hilo.

  Unaweza kutuma mchango wako moja kwa moja msikitini hapo au kwa Account

       Msikiti Istiqama Ngunguti Islamic  NBC  054206005461  au unaweza kuwasiliana na ustaadh Muhidin  +255716427842.

Wabillaah Tawfiq.