SOKONI.market/السوق

Sub Categories

vitabu-vya-kiislamu

Ndani ya ghala yetu na dukani tunavyo vitabu vingi.Baadhi utaviona hapa.Chagua kinachokufaa ili ununue.

bidhaa-za-kiasili

Ikiwa wewe ni fundi wa kutengeneza bidhaa yoyote ya kiasili lete sokoni ili tukutafutie wateja ndani na nje ya nchi.Tuma maelezo yako na picha HAPA.Tutakutangazia bure

Kwako mteja chagua chochote kwa matumizi yako au zawadi kwa ndugu na marafiki.

nyumba-mashamba-na-viwanja

Ikiwa una nyumba unauza au unapangisha.Shamba au kiwanja tangaza hapa

shule-za-kiislamu

Ikiwa unatafuta shule kwa ajili ya mtoto wako yenye maadili ya kiislamu chagua hapa.Kwa wamiliki wa shule wanaopenda taarifa za shule zao zipatikane kwenye inntaneti tuma picha na wasiliana nasi HAPA tutakutangazia bure.

vyuo-vya-kiislamu-madrasa

Wamiliki na wahudumu wa madrasa wanaopenda taarifa zao zipatikane kwenye intaneti leteni maelezo na picha zenu HAPA.Tutawatangazia bila malipo.

Kwa wazazi na wanafunzi  chagueni chuo kwa ajili ya kumpatia elimu sahihi mtoto wako au wewe binafsi.

kalenda-ya-kiislamu-ya-mawimbi-ya-bahari

A promising new calendar format to solve calendar set back facing muslims.

darubini

Elimika na elewa ulimwengu wako kwa kufuatana na darubini yetu huku na huko.

Taasisi na makampuni ya kusafifisha watu kwenda Hija na Umra.