BIDHAA ZA KIASILI

Ikiwa wewe ni fundi wa kutengeneza bidhaa yoyote ya kiasili lete sokoni ili tukutafutie wateja ndani na nje ya nchi.Tuma maelezo yako na picha HAPA.Tutakutangazia bure

Kwako mteja chagua chochote kwa matumizi yako au zawadi kwa ndugu na marafiki.

  • Filters
 Huu ni ubunifu kutoka Tanga.Imechukua miaka mitatu mpaka limekamilika.Ukipenda kutengenezewa bembea kama hili litakalokuwa na ziada wasialiana name kwa simu nambari +255787894111 au +255715894111