SHIDA YA MAJI VIJIJINI

Category: DARUBINI
Wakazi wa kijiji cha Mlomela Wilayani Handeni Mkoani Tanga, wakichota maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kutoka katika shimo walilochimba.Hata hivyo maji hayo ambayo hutegemea kunyesha kwa mvua sio salama kwa  binadamu. Wakazi hao wamesema kwa muda mrefu wamekuwa wakitumia maji hayo hayo.

Picha na Salim Mohammed

20 Agosti 2014

Location

Ask about this product

Comments