UFYATUAJI MATUFALI

Category: DARUBINI

 

 

 

 

 

PichaVijana kutoka kata nne za halmashauri ya jiji la Tanga wanaounda vikundi vya Ujasiriamali wakipewa mafunzo ya uchanganyaji wa udongo mwekundu na mchanga kutengeneza matofali kwa kutumia mashine aina ya Hydrofom zilizotolewa na ofisi ya Mkurugenzi wa jiji lengo likiwa ni kuwawezesha pata elimu ya ufyatuaji wa matofali na kuuza kwa bei nafuu na kuondokana na umasikini.

 

Picha Vijana kutoka kata nne za  halmashauri ya jiji la Tanga wanaounda vikundi vya Ujasiriamali wakipatiwa elimu ya ufyatuaji wa matofali kwa kutumia udongo mwekundu na mchanga kwa kutumia mashine ya kisasa aina ya Hydrofom zilizotolewa na ofisi ya  Mkurugenzi wa jiji la Tanga lengo likiwa ni kuwawezesha kupata elimu ya ufyatuaji wa matofali na kuuza kwa bei nafuuu na kuondokana na umasikini.

 

Pichani Mmoja wa kikundi cha vijana Wajasiriamali kutoka kata ya Duga halmashauri ya jiji la Tanga, Said Mbarouk akionyesha tofali baada ya kufyatuliwa na mashine ya kisasa aina ya Hydrofom wakati wa mafunzo kwa vitendo yaliondeshwa na wataalamu wa halmashauri ya jiji juzi.

 

Picha  Seleman Mdoe akionyesha tofali lililofyatuliwa na mashine ya kisasa aina ya Hydrofom wakati wa mafunzo kwa vitendo yaliyotolewa na wakufunzi wa jiji kwa vikundi kutoka kata nne za halmashauri ya jiji hilo juzi ikiwa lengho ni kuwawezesha vijana hao kujiajiri wao wenyewe na kuondokana na umsikini.

 

Picha na Salim Mohammed

Location

Ask about this product

Comments