UDOM AFYA

Category: DARUBINI

Msanifu wa jengo la kisasa la uchunguzi wa magonjwa ya binadamu na tiba la shirika la Bima ya Afya Chuo Kikuu Dodoma (Udom) Habib Noor akitoa maelekezo kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakati wa mkutano wa 9 wa maandishi na NHIF Dodoma. 

Jengo hilo hadi kukamilika kwake litagharimu zaidi ya shilingi bilioni 36 na kulaza wagonjwa 300.
Picha na Salim Mohammed 15/11/2014

Location

Ask about this product

Comments