DARUBINI

Elimika na elewa ulimwengu wako kwa kufuatana na darubini yetu huku na huko.

  • Filters
Category: DARUBINI
  Picha ya kutoka angani ikionesha shimo kubwa lililochimbika huko kaskazini ya Urusi eneo la Siberia.Wataalamu wanakisia shimo hilo lina upana wa futi 262 na kina kisichojulikana
Category: DARUBINI
Shida ya maji vijijini hukwamisha maendeleo ya kiuchumi kwa faida za kinafsi na kiimani.Angalia hali ilivyo kwenye picha hizi.
Category: DARUBINI
Msanifu wa jengo la kisasa la uchunguzi wa magonjwa ya binadamu na tiba la shirika la Bima ya Afya Chuo Kikuu Dodoma (Udom) Habib Noor akitoa maelekezo kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakati wa mkutano wa 9 wa maandishi na NHIF Dodoma, jengo hilo hadi kukamilika kwake litagharimu zaidi ya shilingi bilioni 36 na kulaza wagonjwa 300.
Category: DARUBINI

Wakazi wa kijiji cha Bagui Tarafa ya Mlalo Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wakipanga foleni ya maji kwenye kisima ambacho kinategemewa na vijiji vinne. Muda wa uchotaji wa maji ni saa 12 asubuhi hadi saa 7 mchana.Baadae hufunguliwa tena saa 10 za jioni hadi saa moja usiku

Category: DARUBINI

Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga mji mdogo wa Soni Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wakisubiri wateja. Wafanyabiashara hao kwa muda mrefu wamekuwa wakiiomba halmashauri ya Wilaya kuwajengea vizimba kuepukana na kero nyakati za  mvua na jua.

Picha na Salim Mohammed

Aprili 2015