ISTIQAAMA TANGA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL

ISTIQAAMA-TANGA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL

Jumuiya ya Kiislamu ya Istiqaama Tanzania inapenda kuwaarifu waislamu na wananchi wote kwa ujumla kuwa inatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza tu kwa mwaka 2013.

Ni shule mpya ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo katika mazingira tulivu na rafiki kwa wanafunzi yenye maadili na malezi mazuri ya kijamii.

 Shule ipo Neema umbali wa kilomita kumi (10) kutoka Tanga mjini kwa barabara ya Pangani. Yapo mabasi ya shule yakuwachukua na kuwarudisha wanafunzi wa kutwa.  

Shule ina walimu waliobobea kwenye fani za elimu na maadili ya kiislamu  kutoka Tanzania na Kenya

Mlete mwanao apate elimu na malezi bora ya kiislam na kiakili. 

Fomu zinapatikana hapa (angalia hapo juu) na katika tovuti ya jumuiya www.istiqaamatz.org na sehemu zifuatazo:-

1.      Dar-es-salaam – Ofisi za Makao Makuu ya Istiqaama mtaa wa Ndanda na  Tandamti karibu na msikiti wa Madina. Katibu Mkuu Sheikh Abdallah Hamoud Slim Al-Mahrouqy 0655/0777/ 962200 na Sheikh Issa Nassor Al-Hinai 0715/0773/0783 421120

2.      Tanga – Shule ya Jabir Bin Zaid Barabara ya saba (7) na Duka linalouza dawa za kiarabu msikiti wa Ibadhi Barabara ya 12. Sheikh Mohamed Hamad Mohamed 0778/0714 789432

3.      Zanzibar – Ofisi ya Hajji Istiqaama Mlandege na Msikiti wa jumuiya ya Waarabu mtaa wa Rahaleo. Sheikh Salim 0777 416773

4.      Manyoni – Mtaa wa Sokoni. Sheikh Hemed Salim Al-Badry 0752 525147

5.      Singida – Dukani Perfect Collection opposite na TANESCO Mkoa Boma Road. Sheikh Khalfan Salim 0713/0784/0773 666084

6.      Tabora – Msikiti wa Ibaadhiy Offisini. Sheikh Hamed Ally

7.      Shinyanga – Msikiti wa Ibadhiy Shinyanga & Kahama, Shinyanga Photo Center & Ibaadhiy Primary School. Sheikh Farid Salum 0754 277526

8.      Mpanda – Mtaa wa Madukani mkabala na Hospitali ya AMEC Dukani kwa YUNUS. Sheikh Yunus Masoud Seif 0766/0683 266266

9.      Iringa – Msikiti wa Istiqaama Mizani Makambaku. Sheikh Ibrahim E. Sambala. 0755 259 954

10.    Rufiji – Ikwiriri & Masjid Taqwa Oilcom kwa mwarabu. Sheikh Abdallah 0784 235519

11.   Kagera – Al-Khusaiby Garage mtaa wa Omukigusha. Sheikh Farid Said 0784/0767/0715 424873

12.    Nzega – Ofisi za GBP Nzega mjini. Sheikh Abdallah Ally 0784 363752

13.    Sumbawanga – Msikiti wa Ibadhiy Sumbawanga. Katibu 0764 601483

14.    Mwanza – Ofisi za Bismark School. Secretary 0754 648064

Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 11th Dec 2012

wahi mapema, fomu ni chache.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0773/0784/0715 – 476609

 e-mail This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

na 0778/0714 – 789432

 e-mail This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

Location

Ask about this product

Comments