SHULE ZA KIISLAMU

Ikiwa unatafuta shule kwa ajili ya mtoto wako yenye maadili ya kiislamu chagua hapa.Kwa wamiliki wa shule wanaopenda taarifa za shule zao zipatikane kwenye inntaneti tuma picha na wasiliana nasi HAPA tutakutangazia bure.

  • Filters
Ipo Msambweni jiji Tanga na inamilikiwa na kuendeshwa na Ansaar Muslim Youth Centre (AMYC)
Inamilikiwa na Ibaadhy Muslim Association ya Tanga
Ipo Kondoa mkoa wa Dodoma.Namba ya Usajili .4443
Namba ya Usajili DS 017069. ipo Ilala jijini Dar es salaam.