×
INSHA YA UCHUMAJI KARAFUU (21 Apr 2016)

Assalaam alaykum.
Tunakaribisha insha zinazoelezea shughuli za uchumaji karafuu.

NYENZO ZA MAISHA - ( LIFE BASICS ) 363 topics

Category
Matibabu ni ghali na Kinga ni bora kuliko tiba.Hivyo ukiwa na tatizo la kiafya anza na tiba hizi kwani ni nyepesi na ni salama kujitibu mwenyewe.Pindi dawa ikikufaa tafadhali panda jukwaani utangaze kwa umma.

Moderators: Al-Jabri
KUPATA UJAUZITO
by Sindibad
1 year 2 weeks ago
Humu tunao ukurasa wa tiba ambapo utachagua dawa kulingana na tatizo lako.Ambalo ni kubwa zaidi eleza hapa ili uweze kushauriwa.Wataalamu wa afya ukumbi huu ni wenu kuifaa jamii.

Moderators: Al-Jabri
Cholesterol is finally officia ...
by Oyo
9 months 2 weeks ago
Lugha ni nyenzo muhimu ya mawasiliano.Usipoweza kujieleza vizuri hutoeleweka.Kila lugha ina tanzu zake.Hapa uliza na elimisha kutokana na uwezo wako katika lugha.

Moderators: Al-Jabri
Mapenzi ya kweli ya kiislamu ni kumpendelea muislamu mwenzio kile unachokipenda kwa nafsi yako.Hapa toa ushauri wa rohoni mwako ili uwapendao wafaidike na huduma yako.

Moderators: Al-Jabri
Mapenzi ya kweli ya kiislamu ni kumpendelea muislamu mwenzio kile unachokipendelea kwa nafsi yako.Hapa toa ushauri wa rohoni mwako ili uwapendao wafaidike na huduma yako.

Moderators: Al-Jabri
Time to create page: 0.400 seconds