BIDHAA ZA KIASILI

Ikiwa wewe ni fundi wa kutengeneza bidhaa yoyote ya kiasili lete sokoni ili tukutafutie wateja ndani na nje ya nchi.Tuma maelezo yako na picha HAPA.Tutakutangazia bure

Kwako mteja chagua chochote kwa matumizi yako au zawadi kwa ndugu na marafiki.

  • Filter
Kwa mahitaji yako ya vitenga vya kuwekea nguo,fimbo za mkongojo na kadhalika fika dukani kwetu