Elimika na elewa ulimwengu wako kwa kufuatana na darubini yetu huku na huko.
Error
[OSYouTube] Alledia framework not found
Category:
DARUBINI
Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga mji mdogo wa Soni Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wakisubiri wateja. Wafanyabiashara hao kwa muda mrefu wamekuwa wakiiomba halmashauri ya Wilaya kuwajengea vizimba kuepukana na kero nyakati za mvua na jua.
Picha na Salim Mohammed
Aprili 2015